Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

WAZIRI MSTAAFU F SUMAYE ASHANGAA AGIZO LA KUKAMATWA KWAKE,KWANI WANA HAKI SAWA NA CCM KUKAGUA MIRADI YA CHADEMA

Waziri mkuu wa zamani Fredrick Sumaye ameshangaa agizo la mkuu wa wilaya ya Ubungo la kutaka akamatwe
Ameseam serikali inataka kukatisha tamaa mipango ya Chadema lakini hawataweza, wataleta vurugu zisizo na msingi



  


Amedai wao walikuwa wanatembelea kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na madiwani wa Chadema kwa faida ya wananchi na kama CCM wanavyofanya na kuhoji hilo ni kosa kwa misingi ipi?


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni