Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MSTAHIKI MEYA WA UBUNGO AMALIZA KIFUNGO CHA MASAA 48 KWA AMRI YA MKUU WA MKOA


jackob.jpg
===========
UPDATES

Hatimaye Meya wa Ubungo Jacob, Katibu wa CHADEMA Ubungo Justine, Katibu wa Kata ya Makurumula na makamanda wengine waliokamatwa.

Kwa ya amri ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo wameachiwa huru baada ya saa 48 za kuwekwa ndani bila makosa yoyote.

Chama kitachukua hatua dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo kwa ukiukaji wa sheria za nchi na matumizi mabaya ya Sheria ya Tawala za Mikoa.

Chanzo: Chadema Media Twitter
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni