Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

SIMU ZAKUTWA KWENYE CHIPS KUKU ZIKIINGIZWA MAGEREZA

Jeshi la Magereza katika gereza la mahubusu Keko, limefanikwa kukamata simu 5 za kisasa (smart phones) zilizokuwa zingizwe gerezani huko na kupewa wafungwa kwa ajili ya mawasiliano jambo ambalo ni kinyume cha sheria. Simu hizo ziliwekwa kwenye mifuko ya nailoni na kufichwa kwenye chakula. Jeshi hilo linamshikilia kijana aliyeleta chakula hicho.! tmp_6185-IMG-20170619-WA0008-995617014.jpg tmp_6185-IMG-20170619-WA00112131342463.jpg tmp_6185-IMG-20170619-WA0008-1418096446.jpg tmp_6185-IMG-20170619-WA00091130671635.jpg
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni