Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

SIKU CHACHE BAADA YA KUHARIBU SHAMBA LA MWENYEKITI CHADEMA, NYUMBA YA MWENYEKITI CCM YAUNGUA MOTO

Nyumba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Dkt.Amini Uronu yachomwa moto usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana, Tumaini Uronu mtoto wa Dkt.Amini athibitisha.
"Mzee na Mama wote wamelazwa Mt.Joseph, Mzee kapata madhara kiasi katika maeneo ya miguu na mikono". Alisema Mtoto wa Dkt.Amini Uronu.

Image result for mwenyekiti wa ccm dkt amini uronu 
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Dkt Amin Uronu kushoto
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni