Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MWONE KACHERO ALIYEPANGA MAUAJI YA PRINCE DIANA HOFU YA PRINCE WILLIAM KUWA NA NDUGU WA TUMBO MOJA MWENYE ASILI YA KIARABU LAKINI MUISLAMU

Prince Philip wa Uingereza Aliamuru Prince Diana Kuuwawa

Discussion in 'International Forum' started by Bowie, Monday at 7:51 PM.
Bowie

Bowie JF-Expert Member

#1
Monday at 7:51 PM
Joined:Sep 17, 2016
Messages:1,359
Likes Received:1,819
Trophy Points:280
New
image.jpeg image.png Kachero mstaafu wa shirika la ujasusi la Uingereza M15 Mr John Hopkins ambaye yupo hospital akiwa amebakiza muda mchache wa kuishi kwa maradhi yanayomkabili amesema yeye ni miongoni mwa maofisa wa M15 waliopanga mauaji ya Princess Diana na mchumba wake Dodi Fayed mwaka 1996,
Amesema ukoo wa kifalme wa Uingereza walipata taarifa kuwa Princess Diana alikuwa na mipango ya kuchukua talaka kutoka kwa mume wake mwana mfalme Prince Charles, inasemekana kama mpango huo ungefanikiwa ingekuwa ni hatari kwa Mfalme mtarajiwa Prince Wiliam kuwa na ndugu tumbo moja kutoka kwenye familia ya kiarabu na kiislam, pili familia ya kifalme ya Uingereza ulikuwa na wasiwasi kuwa Princess Diana angetoa siri nyingi alizokuwa akijua kuhusu ukoo huo wa kifalme. Mauaji hayo yalitekelezwa kwa kutumia ajali, majasusi wa M15 wakijifanya mapaparazi ndio walitekeleza mauaji hayo. Alipoulizwa kachero huyo mgonjwa kwanini hakulataa kutekeleza mauaji hayo alidai alikula kiapo cha utiifu kwa familia ya kifalme na ilikiwa ni wajibu wake kutekeleza mauaji hayo.
Baada ya Princess Diana kutengana na mume wake Prince Charles aliingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na Dodi Fayed mtoto wa Bilionea Fayed aliyekuwa akiishi Uingereza. Katika ajali hiyo Princes Diana, Dodi Fayed na Dreva wake walifariki dunia jijini Paris Ufaransa
 


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni