Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MIHADHARATI AINA YA BANGI GUNIA 168 ZAKAMATWA ARUSHA ZIKIWA TAYARI KUSAFIRISHWA

GFMaafisa wa mamlaka ya kudhibiti na kupambana na madawaya kulevya mkoani Arusha wamekamata magunia 168 ya bangi kijiji cha Losinoni wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha 
Kamishna Mkuu wa kupamabana na kuzuia madawa ya kulenya Ndugu Rogers William Sianga
Kamishna wa intellijensia ya mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya Fredy Kibuta amewaonya wauzaji wa dawa za kulevya kusoma alama za nyakati na kuwafananisha na wauaji
Tume ya kupambana na madawa ya kulevya imesema operesheni hiyo ni endelevu na kuwataka wananchi wa eneo hilo kujikita kwenye kilimo mbadala cha mazao ya mahindi, pareto na alizeti kwani yanastawi maeneo hayo


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni