Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MHE NAPE ASHAURI KWENYE HILI SWALA LA MAKINIKIA WAPINZANI WASIDHARAHULIWE HATA KIDOGO

Nape Nnauye amepinga vitendo vinavyofanywa na CCM vya kuwabagua watu wa Vyama vya Upinzani na kuwaona ni Wasaliti katika hili swala la Madini na Mchanga unaoshikiliwa. Hili swala halifai na halitatufikisha popote kama taifa. Ni wakati wa kwenda pamoja kwenye hii vita ili tufanikiwe bila kudharau mawazo ya mtu yoyote.
Hii ni vita yetu sote, Tushikamane, hata kama wana hoja, wajibiwe kwa hioja sio matusi. Ameshauri Serikali iangalie kwa makini hili swala ili kuondoa Mashaka.

Amempongeza rais Magufuli kwa kuzuia Mchanga.

Amekosoa pia sela za mapato. nasema mipango yote inalenga kubana na kukamua walipa Kodi.


 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni