Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

YAPUUZENI YALIYONDIKWA NA KUSAMBAZWA KWENYE MITANDAO YA JAMII "Mhe A Kairuki"

Ofisi Ya Rais Menejementi Ya Utumishi Wa Umma Inapenda Kuwaarifu Wananchi Kupuuza Habari Inayosambaa Kwenye Mitandao Ya Kijamii Inayosema
"Waziri Angellah Kairuki Amesema Kama Wewe umemaliza Chuo Kikuu Na Umri Wako Umevuka Miaka 30 Endelea Kusubiri Ajira Kwani Sasa Hivi Tunachukua Walio Na Chini Ya Umri Wa Miaka 30"
Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Rais Management Ya Utumishi Wa Umma Hajasema Maneno Hayo Ni Maneno Yaliyotengenezwa Na Waharifu Wa Mitandao Hivyo wananchi Mnaombwa Kupuuza Habari Hiyo IMG_20170512_100349_268.jpg
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni