Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

WASIKILIZE WAWILI HAWA MEYA NA RC WA ARUSHA KUHUSU FEDHA YA RAMBIRAMBI AJALI YA ARUSHA

KAlisti Lazalo meya wa jiji la Arusha amemshukia mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Mashaka Gambo kueleza umma fedha za rambirambi zilivyochangwa na Watu mbalimbali yakiwemo makampuni na taasisi za umma anazodaiwa kuzitafuna. Fedha hizo zinadaiwa kufikia sh, milioni 300,hivi karibuni aliwatangazia wanahabari kuwa wahanga wa tukio hilo la Ajali kila mmoja amepata kiasi cha sh,milioni 3.8 matokeo yake baadhi yao waliambulia sh,milioni 2.8 hatua ambayo imezidi kunogesha utafunaji wa fedha hizo . Wakazi wa Arusha wamemtaka Gambo kurejesha mamilioni ya wahanga hao aliyoyatafuna . Meya ametoa siku tatu kwa Gambo kutoa ufafanuzi wa jambo hill kabla ya jtano na akishindwa ,ataweka wazi fedha zilizotafunwa kwani anajua wrote waliochangia na kiasi cha fedha kilichopatikana. RC Gambo amesema >>>”Nimefurahi kuwasikia Meya wa jiji la Arusha na Mbunge Godbless Lema wakikiri kuwa hawafahamu lolote kuhusu utaratibu wa maafa yaliyotokea, niwaombe tu waendelee kuwa watulivu tutaoa taarifa zote kwa wananchi<<< – RC Mrisho Gambo Kusikia taarifa yote bonyeza play hapa chini.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni