Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MCHANGUNUO WA MICHANGO YA RAMBIRAMBI ARUSHA


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema anasikitishwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa ambao wamelichukulia suala la vifo vya wanafunzi 32 wa Lucky Vicent kisiasa.


Related image Katika taarifa yake iliyotolewa kwa vyombo vya habari, Gambo amesema uongozi wa mkoa wa Arusha umeamua kutoa taarifa ya wazi kwa yumma kuhusu michango iliyotolewa na matumizi yake.
“Hili si tukio la kisiasa bali ni mtihani na changamotyo kubwa uliozikumba familia za wananchi wetu. Wakati serikali inahangaika na shida za watu tunasikitika kuona baadhi ya viongozi wa kisiasa wanahangika na mitandao ya kijamii,”imesema taarifa hiyo

Taarifa hiyo iliyoambatana na jedwali lenye mchanganuo wa rambi rambi hizo inaonyesha kuwa jumla ya michango ya serikali na ya wadau ni Sh 261.3 milioni.

Michango ya Serikali ni Sh 102.7milioni na ya wadau ni Sh 158.5milioni.

Katika mchanganuo wa taarifa hiyo, Gambo amesema familia za wafiwa hao zitapewa Sh 3,857,143 kwa kila familia. Kila familia ilipewa Sh1milioni siku ya kuaga miili uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Chanzo: Mwananchi
------Ufafanuzi matumizi na michango------
1.png 2.png 3.png 4.png 5.png 6.png 7.png
Chanzo: Mwananchi
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni