Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

WANAWAKE 35 WALIOKEKETWA KENYA WAFANYIWA OPERESHENI NA KUJIHISI WANAWAKE KAMILI

Waliokeketwa warekebishwa sehemu zao za uzazi Kenya Ni mara ya kwanza nchini Kenya kufanyika upasuaji marekebisho ya sehemu za uzazi za wanawake waliopitia ukeketaji. 
 Image result for nairobi hospital clitoris plastic surgeon image
Upasuaji huo kwa jina 'reconstruction plastic surgery' umewasaidia zaidi ya wanawake 35 kutoka sehemu mbalimbali nchini humo kujihisi kuwa wanawake kamili tena. Kenya imeorodheshwa kuwa ya tatu barani Afrika inayojihusisha na ukeketaji huo ambao ni utamaduni wa baadhi ya jamii nchini humo. Paula Odek amefika katika hospital ya kibinafsi ya Karen na kuzungumza na baadhi ya wanawake hao na kutuandalia taarifa hii.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni