Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

VIDEO YA MHE MWIGULU AKIFAFANUA MAUAJI YA KIBITI "KWANINI KUKAA CCM SIYO SALAMA BALI UPANDE MWINGINE NDIO SALAMA?"



Siku kadhaaa zimepita tangu kutokee mauaji ya Mwenyekiti mstaafu wa CCM wilayani Kibiti Pwani ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa nyumbani kwake, tukio hilo ni mfululizo wa matukio ya mauaji  mkoani Pwani.
Leo May 21 2017 Waziri wa Mambo ya ndani, Mwigulu Nchemba ametembelea eneo la Kibiti kwa mara nyingine na kuzungumza na askari polisi ambao wako kwenye operesheni ya kuhakikisha wanakomesha matukio hayo, na hiki ndicho alichokisema…..
“Hatutawaacha wanaoua na wala hatutawaacha wanaoshirikiana na wanaoua, hakuna chama cha siasa ambacho kina thamani sawa na uhai wa binadamu, mtu kuwa chama anachotaka hajafanya kosa hata kustahili kuuawa, kwa maana hiyo mimi kila nikitafakari naona kuna kamchezo kanakochezwa”-Waziri Mwigulu
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni