Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

UMRI SIYO TIJA BALI MAPENZI "FLORA KUSEKWA"

April 30 2017 Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Madame Flora (zamani Flora Mbasha) alirudi kwenye headlines baada ya kufunga ndoa kwa mara ya pili baada ya kuachana na mume wake wa zamani (Emmanuel Mbasha). Sasa comment zimekuwa nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na umri wa mume wake wa sasa aitwae Daudi na wengine wanasema haiwezekani kwa Mkristo kufunga ndoa ya pili, mengine ni kuhusu kumualika Mume wake zamani kwenye harusi, maswali yote kayajibu kwenye hii Exclusive Interview hapa chini.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni