Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

TANZANIA YA VIWANDA ITAFELI KAMA KILIMO HAKIPEWI KIPAUMBELE, NA JEMBE LA MKONO LINATAKIWA LIWE KWA AJILI YA KUCHIMBA MAKABURI, KILIMO CHA MVUA HAKITABIRIKI

Mbunge wa Viti Maalum kupitia CUF Saumu Sakala ameitaka Serikali kuwekeza vizuri katika sekta ya Kilimo ili kutekeleza malengo ya Tanzania ya Viwanda. akichangia mapendekezo katika Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Sakala amesema kuwa endapo Serikali itashindwa basi malengo hayo hayataweza kutimia.


h
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni