Watu wawili wamefariki dunia Leo hii asubuh katika nyumba ya aliekuwa marehemu bilionea Msuya baada ya moja ya chumba walichokuwa kuungua Moto huku mwanaume huyo akiwa amefungwa kamba mikononi.
Marehemu Erasto Msuya enzi ya uhai wake Tayari polisi wamechukua miili sasa hivi baada ya kuchukua maelezo kutoka kwa wapangaji wengine
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni :
Chapisha Maoni