Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

RAIS MAGUFULI ATOA MSAADA WA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA KWA WABUNGE 3 WA CCM, WAWILI VITI MAALUM NA MMOJA WA KUCHAGULIWA

Rais Magufuli atoa msaada wa magari ya kubebea wagonjwa kwa wabunge wa Nkasi, Tabora na Shinyanga,


amb2.jpg
Wabunge wa Nkasi, Tabora na Shinyanga wakiwasili tayari kukabidhiwa magari la kubebea wagonjwa waliyopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017

Ambulance.jpg
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi (kati) akiwa na Katibu Mkuu Ikulu Mhe. Alphayo Kidata (Kushoto) na Mkurugenzi wa Huduma Ikulu Bw. Charles Mwankupili (kulia) na Wabunge Mhe Ali Mohamed Kessy (mbunge wa Nkasi Kaskazini) Mhe. Munde tambwe na Mhe Lucy Mayenga (wabunge viti maalumu) baada ya kuwakabidhi magari la kubebea wagonjwa waliyopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni