Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MTOTO WA MIAKA 14 AFARIKI HOSPITALI YA TEMEKE AKISUBIRI AMBULANCE IJAE

Yaliyojiri hospitali ya Temeke, jana Jumatatu, may 8;
Image result for hospitali ya temeke images Mtoto wa miaka 14 alikua amepoteza fahamu kutokana na jeraha kichwani, na alitakiwa kupelekwa hospitali ya rufaa Muhimbili.
Uongozi wa hospitali ukadai ambulance haiwezi kupeleka mgonjwa mmoja mpaka wapatikane wengine wafike watatu. Toka saa saba mchana mpaka majira ya saa moja usiku mtoto anafariki ambulance ilikua inasubiri wagonjwa wengine.

Watanzania wenzangu huu ndio utaratibu kwenye hospitali za serikali?

Hili ni swala la kukemea kwa nguvu zote na halitakiwi kutokea tena. 


Chanzo: Jamii Forum
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni