RAIS JPM ATENGUA UTEUZI WA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF. SOSPETER MUHONGO Mei 24, 2017 Edit Lile jinamizi linalomwandama Prof Sospeter Muhongo la escrow, limehamia kwenye sakata la mchanga tena, hivyo Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo kuanzia May 24, nafasi yake itajazwa baadae. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About Unknown This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel. RELATED POSTS
0 maoni :
Chapisha Maoni