Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

RAIS JPM AKUBALI WALIOOMBA KUACHA KAZI, SAID M.SADIKI, JAJI A KIBUUKA NA JAJI UPENDO H. MSUYA






Breaking News: Kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam.. Mhe. Rais ameridhia maombi ya Kuacha Kazi kwa Wateule wake watatu !


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameridhia maombi ya kuacha kazi kwa Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Bw. SaidiMeck Sadiki na Majaji wawili wa Makahama kuu Tanzania. Nimekuekea hapa Taarifa Rasmi tuliyoipokea hivi punde kutoka Ikulu Jijini dar es Salaam.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni