Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

HATIMAYE WALIONUSURIKA AJALI ILIYOUA 35 ARUSHA WAWASILI MAREKANI



: Watoto Wilson na Sadia walipowasili uwanja wa ndege mjini Sioux City, Iowa mapema usiku kuamkia leo tmp_30537-FB_IMG_1494919808994-1057510568.jpg tmp_30537-FB_IMG_1494919811652-91116729.jpg tmp_30537-FB_IMG_1494919814090-2057397516.jpg tmp_30537-FB_IMG_14949198165951070533450.jpg
Wote wamewasili Sioux City salama na WATOTO wote wako hospitali ya Mercy na wameanza huduma ya kutibiwa. Mtoto Doreen aliingizwa Moja kwa Moja kwenye chumba cha upasuaji mara alipowasili kutokana na hali ailyokuwa nayo. Sadia na Wilson watafanyiwa UPASUAJI kesho. Akina mama wote wamepatiwa kila Moja Mkalimani wake kwa ajili ya kurahisisha mawasiliano, na Dk Mashalla na Nurse wa Mt Meru wako bega kwa bega na madaktari wenzao kusaidia watoto.

 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni