Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

NI VIZURI MATETEMEKO MADOGO YAENDELEE KUTOKEA KURUHUSU MIAMBA KUPUMUA KULIKONI KUJILIMBIKIZA NA KUTOKEA MARA MOJA BAADA YA MUDA MREFU

Kufuatia tetemeko llililotokea kwa mara nyingine mkoani kagera majira ya saa 7 na dakika 29 za usiku wa kuamkia April 30 mwaka huu,mkuu wa mkoa wa Kagera Meja Jeneral Mstaafu Salum Kijuu amesema kuwa tetemeko hilo lilikuwa na ukubwa 3.1 vipimo vya ritchel. ‘Wanasema lile tetemeko lilitokea ziwani eneo la Minziro, zile ni after shocks za lile lililotokea mwaka jana mwezi wa tisa na wanasema ni vizuri yaendelee kutokea hayo madogomadogo kuipa nafasi miamba ipumue kuliko kukaa muda mrefu miaka na miaka alafu linatokea kama lile la mwaka jana’–RC Kijuu ‘Wanasema hizi after shocks zitakuwepo na zitaendelea kuwepo ni miamba inapumua,muhimu tuzingatie yale tuliyokuwa tunashauliwa na wataalamu mbalimbali wa miamba waliokuja na tuachane na taaruki‘-RC Kijuu Full video nimekuwekea hapa chini tayari… USHUHUDA WA TETEMEKO 30th APRIL 2017
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni