Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

LHRC YAFUNGUA KESI DHIDI YA BODII YA MIKOPO KUHUSU KUPANDISHA MAKATO 8% HADI 15%

Baada ya makato kwa wanafunzi walionufaika na mikopo ya elimu juu kupandishwa kutoka 8% hadi 15%, leo May 2 2017 kituo cha sheria na haki za binadamu kimefungua kesi ya kikatiba kwenye mahakama kuu ya Tanzania dhidi ya bodi ya mikopo kuhoji uhalali wa ongezeko la makato hayo. Bonyeza play hapa chini kutazama
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni