Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MHE LUGOLA KUTEMBEA NCHI NZIMA KWA MBUNGE ATAKAYEPITSHA BAJETI YA MAJI KWA NDIYOOOO

Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola amelieleza Bunge kuwa endapo Wabunge watakubali kupitisha bajeti ya Wizara ya maji na umwagiliaji kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ambayo amesema inamapungufu mengi ukilinganisha na uhitaji wa huduma hiyo basi atakuwa tayari kuwahamasisha watu na kuzunguka nchi nzima kuwaeleza namna wawakilishi wao wanavyowafanyia usaliti.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni