Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MBASHA AFUNGUKA, KUMSHTAKI FLORA KWA KUSEKWA

Mbasha amesema kijana aliyemuoa flora hana tatizo naye na alikua hamjui na wala hajawahi kumletea matatizo ila aliyemletea tatizo ni jamaa mmoja ambaye watanzania wote wanamfahamu. Pia amesemapia flora alimuoa akiwa mama wa nyumbani na kumfanya afahamike na Tanzania na dunia ila alimuacha kwa sababu anazozijua yeye ila alikuwa na fedha za kutosha
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni