Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MASHA NA WENJE CCM WAWAPIGA CHINI EALA, LAKINI WAWAPA ULAJI SIASA ZA NDANI 2020

Tumeshuhudia wanasiasa wengi wakichaguliwa kuwakilisha kwenye Mbunge ya nje au vyombo vingine vya huko ni nadra sana kujihusisha na siasa za ndani ya nchi labda tuu wakati wa uchaguzi.
Wabunge wa ccm wanaonyesha kuwa walipania (yaweza kuwa ni maagizo toka juu) Wenje na Masha toka swali wasipate nafasi 

Image result for wenje na masha images
EALA lakini kwa kukosa huko sasa watajihusisha na siasa za ndani na hakika hapo ccm wamejiongezea shida bure.
Ni sawa na kuchungulia mtutu wa bunduki bila kujua kama iko safety off.

Wangewachagua hawa wangejipunguzia presha ya ndani kwa 2020 lakini sasa kwa kuwapiga chini kwenye EALA ndio kunawapa nafasi ya kujipanga kwa majimbo 2020.

Zaidi ya hapo CCM awaangalii vipaumbele vya Nchi. Ukichagua wabunge wazuri wa EALA ni kwamba sifa zitakwenda kwa Nchi na sio Chadema.

Ngoja tutapata mrejesho wa waliowachagua jana muda sio mrefu.

 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni