Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

KURUSHA RISASI HEWANI NI MBINU YA UKAMATAJI "SIRRO"

Kamishna Sirro asema mzozo kati ya Polisi na Adam Malima ulisababishwa na kuegesha gari vibaya na alipotakiwa kulipeleka 'yard' alikataa. Kamanda Sirro ametoa ufafanuzi kuhusu askari aliyefyatua risasi hewani mbele ya Waziri wa zamani Adam Malima, "Waziri alikataa kutoa gari" "Kukosekana maelewano ndio kilichofanya askari kutumia nguvu ya ziada na kufyatua risasi tatu ili kuwatuliza wananchi" Kamishna Sirro: Polisi alifyatua risasi hewani kuwatawanya watu na kufanikisha ukamataji wa mtuhumiwa. Ile ni mbinu ya kufanikisha ukamataji Kamanda Sirro ametoa kauli muda mfupi uliopita wakati akiongea na waandishi wa habari leo. Majibu haya yametokana na Mjala unaoendelea Mtandaoni kuhusu Adam Malima kutishiwa kwa Bunduki. Zaidi soma=>Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni