Waziri wa Afya Ummy Mwalimu May 29, 2017 amekutana na Waandishi wa Habari DSM ambapo amezungumzia kuhusu ugonjwa wa EBOLA ambao umekuwa tishio katika nchi za Afrika akisema hakuna mtu aliyegundulika kuwa na ugonjwa huo hapa Tanzania.
Ili kuhakikisha ugonjwa huo hauingii nchini Waziri Ummy
amesema Serikali imeanza kusambaza vifaa maalum vya kupimia ugonjwa huo
sehemu zote za mipaka ya nchi na Viwanja vyote vya Ndege Tanzania
akiitaja pia Mikoa Tisa ambayo imetakiwa kuchukua hatua kukabiliana na
Ebola.
Hivi karibuni Shirika la Afya Duniani WHO liliripoti kuwepo mlipuko wa EBOLA katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hasa katika jimbo linalopakana na Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Home
/
Uncategories
/
ISIKILIZE VIDEO YA WAZIRI WA AFYA MHE UMMY MWALIMU MIKOA TISA INAYOTAKIWA KUCHUKUWA HATUA KUHUSU EBOLA
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
0 maoni :
Chapisha Maoni