Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

SURA NYINGINE YA KABILA, SIGOMBEI TENA " KABILA"

Sura mpya ya Rais Joseph Kabila,

Sura mpya ya Rais Joseph Kabila
Add caption

Rais wa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo Joseph Kabila amesema kuwa atamteua waziri mkuu ndani ya saa 48 zinazokuja wakati akihutubia wabunge mjini Kinshasa.
Hata hivyo Rais Kabila leo ameoneka akiwa na sura tofauti kinyume na kawaida yake. Kabila ambaye kawaida hunyoa nyele kabisa, leo ameoneka akiwa na nywele nyingi kichwani pamoja na masharubu.
Wadhifa huo wa waziri mkuu utashikiliwa na mwanachama upinzani kama sehemu ya makubaliano yaliyoongazwa na kanisa katoliki.Kabila pia aliahidi kuandaa uchaguzi baadaye mwaka huu lakini hakutangaza tarehe kamili.

Kabila kawaida hunyoa nyele kabisa
Kabila kwaida huwa ananyoa  
Source: Swahili BBC  Kinshasa
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni