Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MCHEZAJI WA MAN U, LUKE SHAW ALITUMIA MWILI WAKE LAKINI UBONGO WANGU " MOURINHO"

Mourinho: Luke Shaw alitumia mwili wake na ubongo wangu,


Luke Shaw na Jose Mourinho
Luke Shaw na Jose Mourinho
Meneja wa timu ya Manchester United Jose Mourinho amesema kuwa Luke Shaw alitumia mwili wake lakini ubongo wa Mourinho wakati wa mechi kati ya Manchester United na Everton, ambayo ilisha kwa sare ya 1-1.
Shaw mwenye miaka 21, alicheza mara ya kwanza tangu Januari na ilikuwa penalty iliyotokana na mkwaju wake ambapo Zlatan Ibrahimovic alisawazisha.
"Alikuwa mbele yangu na nilikuwa nikimfanyia kila uamuzi" Mourninho alieleza
Shaw ndiye alikuwa mchezaji mdogo pekee kutoka Manchester aliyetengwa kando na Mourinho baada ya United ilitoka bao sare kwa mara ya tisa nyumbani katika ligi msimu huu.
Zlatan Ibrahimovic
Zlatan Ibrahimovic amefunga magoli 27 msimu huu
United ilimshukuru Ibrahimovic tena kwa penalty aliyoufunga iliyosaidia United kupata alama moja na kuiweka United nambari tano kwa jedwali.
Ibrahimovic ambaye mkataba wake unakamilika mwisho wa msimu huu bado hajaamua iwapo atasalia kubaki Old Trafford msimu ujao.
"Bado tunajadiliana, tungoje kuona matokeo, bado nipo wazi na hakuna lolote limetendeka bado", Ibrahimovic ambaye ana miaka 35 alieleza televisheni ya manchester united.
"Nilikuja hapa bila Ligi ya Mabingwa, haikuwa timu ambayo ilitarajiwa kushinda, lakini bado nilikuja na nikasaidia nilivyoweza ili kuiimarisha, kwa hivyo tungojee kuona matokeo

Luke Shaw
Luke Shaw maecjhean Man U mara 16 pekee msimu huu



 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni