Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

SIMBA YATEMA POINTI 3 ZARUDISHWA KAGERA SUGAR " KATIBU MKUU TFF"

Katibu mkuu wa shirikisho la soka Tanzania TFF Selestine Mwesigwa ametangaza maamuiz yaliyofikia na kamati ya sheria na hadi za wachezaji kuhusu Simba kupewa point 3 dhidi ya Kagera Sugar kwa madai ya kuchezeshwa mchezaji Mohamed Fakhi aliyedaiwa kuwa kadi 3 za njano. Selestine Mwesigwa ametangaza maamuzi hayo katika makao makuu ya TFF na kusema Simba imepokonywa point tatu na hakuna nafasi ya kukata rufaa kutokana na kikao cha bodi ya Ligi kilichotoa maamuzi ya awali kilikuwa kinyume kisheria.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni