Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

SHULE YA MSINGI INA WANAFUNZI 900 NA WALIMU 3 DODOMA

Shule ya msingi Mbalawala iliyopo manispaa ya Dodoma imefungwa kwamuda usiojulikana na wazazi kutokana na kuwa na upungufu mkubwa wa walimu na wanafunzi kuwa mbumbumbu, shule hiyo ina wanafunzi 900 na walimu 3
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni