POLISI WAJA NA MPANGO KABAMBE WA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI KWA WANAFUNZI
VIDEO: Mpango utakaosaidia kupunguza ajali za barabarani kwa wanafunzi
Leo April 24 2017, Kamanda wa Polisi wa kikosi cha usalama Barabarani, Mohammed Mpinga amefunga mafunzo ya elimu ya matumizi sahihi ya alama za barabarani kwa watoto wa shule na walimu, mpango ambao ulishirikisha shule za Dar es salam zaidi ya 40 na washiriki zaidi ya 1000. Bonyeza play hapa chini kuitazama
0 maoni :
Chapisha Maoni