Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MSIKILIZE BASHE, PUNGUZA GHARAMA ZA UJENZI WA RELI KWA KUONGEZA UREFU WA VIPANDE VYA UJENZI, WALIPWE KWA TSHS ILI ZIBAKI NDANI,TIB IWEZESHWE KUONGEZA WIGO WA USHINDANI MBALI NA UTURUKI

April 28, 2017 Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe alikuwa ni miongoni mwa wabunge waliopata nafasi ya kuchangia bajeti ya Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano ambapo kati ya vitu ambavyo hakuacha kuzungumzia ni pamoja na mpango wa serikali kujenga reli ya kati. Full video nimekuwekea hapa chini tayari…
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni