Waandamanaji walichoma moto bunge nchi
Waandamanaji huko Paraguay , wamevamia majengo ya bunge la nchi hiyo na kuliwasha moto.
Wanapinga
hatua ya bunge la senate la nchi hiyo kukutana kwa faragha na
kupitisha mswada wa kufanyia marekebisho kipengee cha katiba ya nchi
hiyo,kitakachomruhusu Rais Horacio Cartes kuwania muhula wa pili
madarakani.Waandamanaji hao wanasema mabadiliko hayo yanaharibu misingi na taasisi za kidemocrasia nchini Paraguay .
Hata hivyo Mswada huo huenda ukafanikiwa, kwani sasa unapelekwa katika bunge la daraja la pili ambako Rais Cartes ana idadi kubwa ya wabunge kutoka chama chake.
Wapinzani Gabon wachoma moto Bunge Watu kadhaa wamejeruhiwa pale Police walipofyatua risasi za mipira na michirizi ya maji ya kasi kujaribu kuwatawanya waandamanaji ili kuzima ghasia hizo,
Hata hivyo Mswada huo huenda ukafanikiwa, kwani sasa unapelekwa katika bunge la daraja la pili ambako Rais Cartes ana idadi kubwa ya wabunge kutoka chama chake.
Source: swahili BBC London
0 maoni :
Chapisha Maoni