Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MAHOJIANO KATI YA MILLARD AYO TV NA MAREHEMU BABAKE NA BELLE 9 ENZI YA UHAI WAKE

Ayo TV na millardayo.com imezipokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha baba mzazi wa staa wa Bongo fleva Belle 9 mzee Damian Nyamoga aliyefariki kwa ajali ya pikipiki. Taarifa ilizozipata Ayo TV na millardayo.com kutoka kwa rafiki wa karibu wa Belle 9, Lulu Diva, mzee Nyamoga amefariki usiku wa kuamkia leo akiwa katika Hospital alikowahishwa kwa ajili ya matibabu baada ya kugongwa na pikipiki wakati anavuka barabara. Ayo TV na millardayo.com inatoa pole kwa familia ya Belle 9 na Mungu awape moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu. Bwana ametoa, na Bwana ametwaa…
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni