Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

BUNGE LAAHIRISHWA KUPISHA MJADALA WA SWALA LA MAUAJI YA POLISI 8

VIDEO: Mwongozo uliotolewa Bungeni baada ya mauaji ya Askari 8 April 18, 2017 mkutano wa saba wa bunge umeendelea ambapo kati ya yaliyojiri ni mwongozo uliotolewa na mbunge wa Bukombe Doto Biteko aliyeomba bunge kuhairishwa ili kujadili tukio la mauaji ya Askari Polisi 8 waliouawa na watu wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi yaliyotokea wiki iliyopita. Ufafanuzi ukatolewa na Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba ambaye alisema…>>>”Kama ilivyotolewa kauli na Waziri Mkuu serikali inalichukulia mambo haya kwa uzito mkubwa na inawahakikishia wananchi‘ ‘Matukio ya uhalifu yaliyotokea ndio yametupa chachu zaidi ya kupambana na matukio kama haya na pia tunawaomba wananchi watoe taarifa na wala wasiogope maana tuna mfumo bora sana wa kuwalinda watoa taarifa wote” –Waziri Nchemba
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni