Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

KITENGO CHAMNUSURU RAIS ZUMA SHINIKIZO LA KUJIUZULU

Rais Zuma aponea shinikizo za kumtaka ajiuzulu, hata hivyo amemfukuza kazi Waziri wa Fedha, na kudai haogopi kufungwa jela,

Zuma aponea shinikizo za kumtaka ajiuzulu
Rais Zuma aponea shinikizo za kumtaka ajiuzulu
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ameungwa mkono na kitengo muhimu cha kutoa umuzi katika chama kinachotawala cha ANC.
Kitengo hicho kilikua kinatathmini malalamiko kutoka kwa maafisa wa vyeo vya juu wa ANC, kuwa Jacob Zuma hakuwaomba ushauri wao wakatia wa mabadiliko kwenye baraza la mawaziri.
Baada ya kuyatathmini malalamiko hayo, ANC imeamu kuwa haitashinikiza kujiuzulu kwa bwana Zuma, kwa mujibu wa maafisa wa chama.

Bwana Zuma amekuwa akikumbwa na shinikizo kali tangu amfute kazi waziri wa fedha aliyekuwa akiheshimiwa Pravin Gordhan.
Waziri wa fedha aliyeachishwa kazi Pravin Gordhan
Waziri wa Fedha Pravin Gordhan

 
Haki miliki ya picha Reuters

 

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni