Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

KIJANA ALIYEOTA MKIA SM 20 AFANYIWA UPASUAJI


Kijana aliyemea mkia afanyiwa upasuaji India,

Kijana mwenye mkia nchini India afanyiwa upasuaji kuuondoa

Ulianza kutokea katika mgongo wa kijana huyo wa miaka 18 baada ya siku yake ya kuzaliwa ya 14.
Yeye na familia yake kutoka Nagpur nchini India walifanya swala hilo kua siri kwa sababu walikuwa na wasiwasi angechokozwa na wenzake.
Sasa wanataka kuonana na daktari baada ya mkia huo kuendelea kumea mfupa ndani yake.
Mkia huo unadaiwa kuwa mrefu kuwahi kutokea kwa mwanadamu ijapokuwa visa kama hivyo ni vichache.
Mkia huo una urefu wa sentimita 20
Mkia huo una urefu wa sentimita 20
''Ulianza kuwa tatizo baada ya kuanza kumea nje ya mwili wake'',alisema mamake ambaye hakutaka kutajwa jina.''Angeinua mkia huo kila mara alipotaka kubadilisha nguo zake.Ningeona kwamba ilikuwa inakera na uchungu mkubwa kwake,kwa hivyo nilimpeleka hospitali''.
Madaktari wanasema kuwa kijana huyo huenda alimea mkia huo ndani ya tumbo la mamake kutokana na kasoro ya uti wa mgongo,lakini ukaonekana nje baada ya kijana huyo kuwa mkubwa.

Source: Jamii Forum


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni