Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

JESHI LA POLISI LAPIGA MARUFUKU KUFANYA USAFI OFISI ZA CUF


Jeshi la Polisi mkoa wa Ilala limekizuia kikundi cha wanachana wa CUF kukusanyika na kufanya usafi kwenye ofisi zao zilizopo Buguruni.

Image result for abdallah mtolea images 
 Marufuku hii ya Jeshi la Polisi imekuja baada ya Mbunge wa Temeke kwa tiketi ya CUF, Abdallah Mtolea akiambatana na wabunge wengine 41 kutangaza kuwa wameamua kufanya usafi katika ofisi ya chama chao baada ya kuona ofisi hiyo imekuwa ikitumiwa vibaya Profesa Lipumba na genge lake kufanya mipango ya kuvamia mikutano ya watu, na matukio ya kihalifu.
Mbali na hilo Mtolea alisema wazo hilo lilianzia Temeke lakini limepokewa vyema na sehemu zingine hivyo baadhi ya wanachama kutoka Zanzibar, Tanga na wanachama wa maeneo jirani wataunga na wabunge 42 kufanya usafi huo hapo Buguruni.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni