Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

CRDB YAPIGA MNADA HOTEL KUBWA DAR ES SALAAM BAADA YA KUSHINDWA MAREJESHO

Kufuatia mmiliki wa hotel kubwa iliyojengwa miaka michache iliyopita pande za mwenge jijini Dar es salaam kushindwa kulipa mkopo wake wa mabilioni ya Pesa aliyokopa , beki hiyo imechukua hatua za Kupiga "for sale" kwa Kupiga mnada hotel hiyo iliyokuwa ya kifahari kwa kutumia idihini halali ya mahakama baada ya mmiliki wake kushindwa kurejesha mkopo alikuwa kukopa.
Pamoja na kupigwa mnada na hotel kununuliwa na kibopa mwingine, mmiliki wa awali wa hotel hiyo alishindwa kutoa taarifa za awali na za kueleweka kwa wanafunzi mbali mbali wa chuo na wapangaji wengine walikuwa wakiishi katika mengi hilo hali iliyopelekea kutolewa vitu vyao nje na kampuni ya madalali walikuwa wamepewa kandarasi na mahakama.

TAMAL HOTEL
Hilo ni funzo kwetu kuwa, mikopo bila mipango ni majanga matupu, tujifunze sana kuwa mipango endelevu "sustainable planning " kwa mambo.mbali.mbali maana hilo hotel ukiliona kwa nje unaweza sema hivi mwenye nalo anajua hata kama kuna jero ya coin?? Maana ni ya kishua kinoma.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni