Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

DR SLAA AANDALIWA UKATIBU MKUU CUF NA PROF. LIPUMBA

Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na masajili wa vyama Prof. Lipumba anafanya mazungumzo na aliyekuwa Katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa anayeishi Canada kwa sasa ili ajiunge na chama hicho.


Inasemekana Lipumba anamshawishi Slaa aje ashike nafasi mojawapo ya juu aidha ya ukatibu mkuu au Makamu mwenyekiti wa CUF.

Yetu macho, combination ya wasaliti waliobobea
.


WhatsApp Image 2017-04-19 at 08.30.11.jpeg
 
Source: Jamii Forum/Tanzania Daima
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni