Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

CUF YA UPANDE ULE IMEKIRI KUHUSIKA NA, TUNAOMBA VYOMBO VYA DOLA IFUATILIE

CUF ya Lipumba wamekiri vijana wao walivuruga mkutano uliosababishwa waandishi wa habari kupigwa, Hayo yamesemwa na Abdul Kambaya mmoja wa wanakambi wa upande huo. Anasema walipigiwa simu na waandishi wa habari kuwa kuna mkutano unaendelea na wakasema hapana, ndipo waliwatuma vijana wao kwenye mkutano huo Kabla hawajafanikiwa kuingia ndani wakaanza kupigiwa kelele za kuitwa wezi, kikao hicho kilikuwa haramu na vijana hao walikuwa ni walinzi wa CUF na sio watu wasiofahamika kama baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti Amesema pia CUF imegawanyika pande mbili ila CUF yao ndio inaendesha chama kwa mujibu wa katiba na sheria chini ya Profesa Lipumba na CUF ya Maalim seif inayoendesha chama kwa kesi mahakamani Source: Jamii Forum
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni