Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

CHINA YAONGOZA KWA KUTEKELEZA ADHABU YA KUNYONGA WATU DUNIANI

China iliwanyonga watu wengi zaidi duniani,

Pakistan imepunguza idadi hii kwa asilimia 75 tokea mwaka 2015
Pakistan imepunguza idadi hii kwa asilimia 75 tokea mwaka 2015

Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International, limesema idadi ya watu waliopewa adhabu ya kifo imepungua kwa kiasi kikubwa duniani.
Mwaka jana, idadi hiyo ilipungua kwa zaidi ya theluthi moja.
Lakini Amnesty imesema kwamba kiwango hicho hakihusishi Uchina, ambayo inatuhumiwa kuwa na idadi kubwa ya adhabu ya kifo.
Inakadiriwa kwamba, idadi ya waliopata adhabu ya kifo nchini Uchina mwaka jana, ni kubwa zaidi kuliko duniani kote.

Jendwali linaloonyesha nchi zinazoongoza duniani

Jendwali linaloonyesha nchi zinazoongoza duniani

Kwa mara ya kwanza kwa zaidi ya muongo mmoja, Marekani haipo katika kundi la nchi tano zinazotumia adhabu ya kifo ambazo ni Uchina, Iran, Saudi Arabia, Iraq na Pakistan.
Nchi ya Belarus na Mamlaka za Palestina zilirejesha adhabu ya kifo mwaka wa 2016. Botswana na Nigeria nazo zilitekeleza hukumu ya kwanza ya kifo mwaka wa 2013

Source: Jamii Forum
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni