Kufuatia CHADEMA kukubaliana na mwongozo wa spika, Lawrance Masha na Wema Sepetu watateuliwa kuingia kwenye uchaguzi wa EAL
W.Sepetu |
L Masha |
Kwa habari za uwakika kabisa ni kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamekubaliana na miongozo iliyotolewa jana na Spika wa bunge kuhusu uwiano wa uwakilishi katika jinsia. Na katika muktadha huo basi leo mchana Lau Masha na Mlibwende Wema Sepetu watapitishwa rasmi na kisha majina yao kupelekwa katika ofisi ya Spika kwa hatua ya kuthibitishwa na kupigiwa kura
0 maoni :
Chapisha Maoni