Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

CAG AIBUA LUGUMI


New-Doc-2017-04-25_10.jpg
Kwa ufupi:
Makamu mwenyekiti wa PAC bwana Aeshi kasema ni kweli toka mapendekezo ya awali ya bunge kuwa kampuni ya Lugumi ipewe mda ilekebishe makosa yaliyoonekana katika mkataba ule.

Hata baada ya kupewa mda hadi CAG anakagua hakuna vifaa vyovyote vilivyoongezwa katika vituo vya polisi hivyo ni ufisadi umefanyika kwa kulipa kampuni ya watu binanfsi na kushindwa kutekeleza mradi.

Chanzo:Jamuhuri
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni