Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

BUNGE LIVE LILIWEZA KUPUNGUZA UKEKETAJI "MHE PENEZA"

Mbunge wa viti maalum CHADEMA Upendo Paneza ameshauri serikali kuruhusu matangazo ya bunge kurushwa moja kwa moja (Bunge live) ili kusaidia wananchi kujua kwa urahisi mambo yote yanayojadiliwa bungeni tofauti na ilivyo sasa. Peneza amesema…>>>‘Kuna masuala ya ndoa za utotoni, uelewa wa watu wameweza kubadilika, kuna ripoti ya TWAWEZA ya mwaka 2012 inaonesha masuala ya ukeketaji yamepungua kwa asilimia 21 na inatokana na mchango wa bunge’ ‘Wananchi wamekuwa wakifuatilia bunge wameweza kubadilika na kuona kuna haja ya kupunguza masuala ya ukeketaji na hii ni kutokana na mchango wa bunge’ –Upendo Peneza ‘Kama wanawake sasa kuna haja ya kusimama na kuweza kudai hili suala la Bunge LIVE’ –Mbunge Upendo Peneza Full video nimekuwekea hapa chini tayari…
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni