MATUKIO BUNGENI: BASHE ATOA 'KAULI TATA' BUNGENI; ASEMA IKIBIDI 'NIKO TAYARI KUTOLEWA KWENYE CHAMA'..!!
Mbunge wa Nzega mjini, Hussein Bashe leo April 11 2017 amesimama bungeni kuomba taarifa kwa mwenyekiti wa bunge baada ya waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene kumtaka mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe kuthibitisha tuhuma zake kwamba usalama wa taifa wamekuwa wakiwakamata watu kinyume cha sheria.
Mbunge Hussein Bashe akasiamam
na kusema…..>>>’CCM acheni unafiki mimi nimeshakamatwa na watu
wa usalama mnasema hawakamati, kwa hili nipo tayari mniondoe kwenye
chama’
0 maoni :
Chapisha Maoni