Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

ANGALIA VIDEO YA HARMORAPA ALIVYOPASULIWA NA CHUPA NA SHABIKI STEJINI

Hii ilitokea Jumamosi Maisha Club baada ya shabiki kumtupia chupa Harmorapa akiwa stejini , Jamaa huyo alishushiwa kipigo na walinzi wa hapo na kumuhisi kuwa alikuwa ametumwa ila yeye alikataa katu kuwa hakutumwa alikuwa kalewa. Meneja wake Irene Sabuka alilaani vikali tukio na kusema kuna watu wasanii wakubwa wapo nyuma ya tukio hilo na wamemtuma huyo kijana kuja kuharibu. kuwaomba radhi mashabiki kwa tukio hilo kisha Harmorapa na meneja wake wakaenda kituo cha polisi Mbatini kutoa taarifa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni