Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

ANGALIA VIDEO HEKA HEKA ZA UOKOZI DHIDI YA AJALI YA BOTI ZANZIBAR, 9 WAHOFIWA KUFA 7 WAOKOLEWA

Watu 9 wahofiwa kufa maji na wengine 7 kujeruhiwa baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuelekea Unguja na Wete kisha kuelekea Mombasa kuzama huko Zanzibar. Chanzo cha ajali hiyo ni hitilafu katika Boti hali iliyosababisha kuingiza maji katika Chombo hicho. Watu saba waliojeruhiwa wamelazwa katika Hospitali iliyopo Kaskazini Pemba.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni