Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

AJALI MBAYA KIJIJI CHA MBWEWE RAV4 USO KWA USO NA LORI

Kuna ajali imelipotiwa saa 2240 ya terehe 13/04/17 imetokea kijiji cha mbwewe walikuwana gari binafsi aina ya RAV 4 namba ya usajili T455 CLA ikihusisha namba T609 ATW scania Askari walikua wanatoka msangani wakielekea Arusha chanzo cha ajali gari iliyokuwa inaendeshwa na LT RUNGU ilikua speed ilikua inaovertake ndo ikagongana na scania

Marehem! P 11125 MC Rungu kikos SMI .MT 87108 CPL salumu Ali kikosi 303 Adimin PTE Martin Masai .kikosi 39kj . MAJELUHI P11990 LT kadala kikosi SMV .MT84157 CPL Andaman Ibrahimu kikosi 39kj

Majeruhi na miili wote Wamepelekwa lugalo baada ya kwenda kuwachukua kutoka eneo la ajali kuna sgt MP anaitwa kifaru alikuwa zamu ndo yupo lugalo kawapeleka majeruhi na marehemu
[​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]


 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni